GUNDUA

Gundua! Katika maisha kuna kweli nyingi muhimu na zisizofahamika na wengi katika kizazi hiki, miongoni hii ('Gundua') ni mfululizo wa masomo 26 ya Biblia yatakayokuwezesha kuzifahamu kweli muhimu za maisha na kumjua Mungu zaidi

Anza Kusoma sasa

Anza Somo la Kwanza

Orodha ya Masomo Yaliyopo

Somo la 1

Twaweza Kumwamini Mungu

Siku moja Jimi alimwuliza mtu mmoja anayekana kuwa...[+ soma zaidi

Twaweza Kuiamini Biblia

Somo la 2

Twaweza Kuiamini Biblia

Mabaharia waasi maarufu walioizamisha...[+ soma zaidi

Je! Maisha yangu yana maana kwa Mungu?

Somo la 3

Je! Maisha yangu yana maana kwa Mungu?

Mungu ndiye Muumbaji, mwasisi na mbunifu wa...[+ soma zaidi

-->